Card image cap

Card image cap

Mkurugenzi wa shule Santa Kagwa sekondariWELCOME TO SANTA KAGWA SECONDARY SCHOOL

Shule hii ya Sekondari Santakagwa inamilikiwa na mwalimu Linus Mizengo, ilianza rasmi mnamo tarehe 09/01/2010; imesajiliwa mwaka 2013 kwa namba S.4667 na namba ya kituo cha mtihani S.5053 na P.5053. Shule ipo Sumbawanga mjini eneo la Kisiwani km. 4 kutoka stendi kuu ya mabasi Sumbawanga mjini. Shule inapokea wanafunzi wa jinsia zote kwa Tanzania na nje ya Tanzania.

Daima matokeo yetu yamekuwa yaking’ara kwa ufauru wa daraja la kwanza na la pili (division one &two). Hii ni kwa kidato cha pili na cha nne. Tunafundisha kwa kuuisha (mentoring) ili mwanafunzi ajitambue na elimu imsaidie kimaisha. Pia tunahakikisha kuwa shule yetu inaimarishwa vema kwa misingi bora ya kitaaluma na kimaadili kwa wanafunzi wetu kwa kuzingatia mitaala mipya ya wizara ya Elimu napia kuzingatia utumizi sahihi wa lugha ya kufundishia ambayo ni Kiingereza.


WHY CHOOSE SANTA KAGWA SECONDARY SCHOOL

 Walimu Bora

Shule ina waalimu bora na wenye uzoefu wa kutosha wa kufundisha kwa hali na karama.


 Taaluma Bora

Shule inatoa taaluma bora inayokidhi viwango vinavyohitajika kwa kuzingatia mitaala mipya ya wizara ya Elimu.


 Mazingira Safi na bora

Shule ina mazingira bora, safi na mazuri ya kufundishia na kujifunza kwa vitendo.


 Lishe bora

Shule inatoa lishe bora


 Uzoefu katika mitihani

Shule imefanya mitihani ya kidato cha nne mara nyingi na kufanya vizuri kimkoa na kitaifa.


 Maadili Bora

Shule inazingatia na kusimamia elimu na maaadili bora kwa wanafunzi wote.


 Ufaulu mzuri

Shule haina historia ya daraja la nne na sifuri.


 Ada nafuu

Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu.


HEADS OF SCHOOL


Card image cap

Mr. Zacharia Mwasenga - Makamu mkuu wa chuo na msimamizi wa malezi ya watoto wa kike Santa Kagwa sekondari
+255 757 767 665

Card image cap

Mr. Tenson Mzumbwe - Mkuu wa shule Santa Kagwa Secondari
+255 763 064 290

Card image cap

Mr John John - Makamu mkuu wa chuo na msimamizi wa malezi ya watoto wa kiume Santa Kagwa sekondari
+255758222906DHAMIRA YA SHULE(MISSION)

Kuwezesha/kutoa elimu bora na maadili mema kwa watu kwa kushirikiana na wadau wengine.


DIRA(VISION)

Kuwa na watu au wanajamii walioelimika kwa kiwango cha juu mwenye maadili stahiki, stadi na mwelekeo mwema kimwenendo kwa kadiri ya mila na desturi za jamii yetu. Zaidi awe mahiri na jasiri aliye tayari kushiriki kwa ufanisi katika kuyafikia malengo ya maendeleo yaliyowekwa na taasisi yetu na taifa kwa ujumla.


LATEST NEWS & RESULTSGALLERY


Card image cap

Students at Santa Kagwa Secondary School

Card image cap

Biology laboratory at Santa Kagwa secondary school

Card image cap

Staff at Santa Kagwa Secondary School


Card image cap

Staff at Santa Kagwa Secondary School

Card image cap

Study time at Santa Kagwa secondary school

Card image cap

Students discussion at Santa Kagwa secondary schoolSanta Kagwa Secondary School © 2021