Shule ya Sekondari Santa Kagwa.

Kauli mbiu yetu ni "LENGA JUU"Kujiunga Santa Kagwa Sekondari- Joining Santa Kagwa

Tuna mfumo madhubuti wa kuendesha kozi ya kiingereza kwa kila mwaka kuanzia mwezi September kwa wanafunzi wanaohitimu darasa la saba. Tunawakaribisha wale tu walio tayari kuendelea na kidato cha kwanza.HOW TO APPLY - Jinsi ya kujiunga na Shule yetu